Rais wa Jamhuri ya Comoro, Dk Ikililou Dhoinine, akimkaribisha balozi wa heshima wa Comoro nchini Oman ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Rahma Abdulrahman Al Kharoosi (Malkia wa Nyuki), katika Ikulu yake mjini Moroni
Rais wa Jamhuri ya Comoro, Dk Ikililou Dhoinine,akiwa katika picha ya heshima na balozi wa heshima wa Comoro nchini Oman ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Rahma Abdulrahman Al Kharoosi (Malkia wa Nyuki), katika Ikulu yake mjini Moroni.Na Mpiga Picha Wetu
So she is not a Tanzanian..!?
ReplyDeleteMwaka wa njaa ni mwaka wa njaa Klabuni Msimbazi Darisalama-Tanzania.
ReplyDeleteMalkia wa Nyuki Mdhamini wenu huyooo ametimkia Comoro na sasa amewaacha Simba S.C mkikalia kuti kavu!
Kwanza hapo mie sielewi kitu! Huyu mama ni mtanzania, kateuliwa kuwa balozi Oman, Nchi anayoiwakilisha ni Comoro! nimelewa kabisa hapo!
ReplyDeleteNisaidieni wasomi na 'wasomi njaa'.
Jifunzeni International Relations kwa Emmanuel Ole Naiko aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Idara fulani muhimu hapa nchini hadi siku za karibuni nae si Mtanzania, mbona nae nawakilisha nchi ya kigeni kwenye nafasi ya ubalozi? Sasa mtaanza fitina kwa mambo fulani fulani!!!
ReplyDeleteHizi Njaa sasa... sikazi malkia wa nyuki kwa sasa ni mke wa nne wa Raisi wa Comoros. Mi sielewi kitu ngoja nirudi shule.
ReplyDelete